个人资料图片
English
  • 全部
  • 搜索
  • 图片
  • 视频
  • 地图
  • 资讯
  • 更多
    • 购物
    • 航班
    • 旅游
  • 笔记本
报告不当内容
请选择下列任一选项。
  • 时长
    全部短(小于 5 分钟)中(5-20 分钟)长(大于 20 分钟)
  • 日期
    全部过去 24 小时过去一周过去一个月去年
  • 清晰度
    全部低于 360p360p 或更高480p 或更高720p 或更高1080p 或更高
  • 源
    全部
    Dailymotion
    Vimeo
    Metacafe
    Hulu
    VEVO
    Myspace
    MTV
    CBS
    Fox
    CNN
    MSN
  • 价格
    全部免费付费
  • 清除筛选条件
  • 安全搜索:
  • 中等
    严格中等(默认)关闭
筛选器
ليه قصرتي الجيبة"ورميتي التحجيبة🧕🏽 | ويكا - weka
0:28
ليه قصرتي الجيبة"ورميتي التحجيبة🧕🏽 | ويكا - weka
已浏览 41.1万 次3 天之前
Facebook\u0648\u064a\u0643\u0627 - weka
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameiagiza ofisi ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali (DPP) kuchuja makosa ya vijana waliojihusisha na vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025 ili wale waliofuata mkumbo wazungumze nao kisha wawaachie. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdate
2:46
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Sami…
已浏览 39万 次1 周前
FacebookITV Tanzania
"Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndio wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha zilitoka wapi? NG'Os zetu za ndani na nje wamechangia nini kwenye mambo hayo..."- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua tume ya kuchunguza vurugu zilizotokea kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pe
1:34
"Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fed…
已浏览 32.3万 次2 天之前
FacebookITV Tanzania
#HABARI: Mara baada ya kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu mteule leo Novemba 13, 2025, Dkt. Mwigulu Nchema amepewa nafasi ya kuzungumza bungeni kwa mara ya kwanza ambapo pamoja na mambo mengine, amezungumzia suala la ofisi za umma kwamba atahakikisha zinawasikiliza Watanzania hasa wa hali ya chini. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital
0:45
#HABARI: Mara baada ya kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu m…
已浏览 43.6万 次1 周前
FacebookITV Tanzania
#VIDEO: Leo Bungeni aliyekuwa Mgombea wa Uspika kupitia Chama cha ADC, Amin Yango, amezua kicheko Bungeni baada ya kujibu kwa utani swali la Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku (Msukuma), aliyemuuliza kuhusu mavazi aliyovaa na kumjibu kuwa, "Kiongozi lazima uwe smati kwa hiyo isikuhadae rangi Mhe.Msukuma jirani yangu utamu wa chai sukari", majibu hayo yaliibua vicheko ndani ya Bunge. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - 📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pe
1:07
#VIDEO: Leo Bungeni aliyekuwa Mgombea wa Uspika kupitia Cham…
已浏览 55.6万 次1 周前
FacebookITV Tanzania
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Taasisi, Wakuu wa Idara na watumishi wengine wa Ofisi ya Waziri Mkuu. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno
1:07
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amekabidhiwa …
已浏览 24.6万 次5 天之前
FacebookITV Tanzania
#HABARI: Mvua iliyonyesha kwa saa kadhaa katika Jiji la Mwanza, imesababisha mafuriko ya maji katika eneo la Mabatini, panapojengwa daraja baada ya baadhi ya nyumba pamoja na maghala ya kuhifadhia nafaka kujaa maji na kusababisha hasara kwa baadhi ya wakazi na wafanyabiashara wa nafaka katika eneo hilo. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #I
2:17
#HABARI: Mvua iliyonyesha kwa saa kadhaa katika Jiji la Mwanza, imes…
已浏览 6.4万 次1 天前
FacebookITV Tanzania
观看更多视频
静态缩略图占位符
更多类似内容
反馈
  • 隐私
  • 条款