资讯

Moshi. Serikali imeshachukua hatua kwa wahudumu wa afya wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mawenzi wanaodaiwa ...
Tanzania na Burundi zimeweka jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kuunganisha mataifa hayo mawili.
Maombi hayo yalifunguliwa na Jonathan Kiula, Leonard Mmbaga, Herman Kassenga, Elija Rumbe na wenzao 466 ambao walikuwa ...
Geita. Wazazi wametakiwa kuacha tabia ya ‘kufuga’ watoto kwa kuwapa chakula na mavazi pekee badala ya ‘kulea’ kwa kuwajengea ...
Mwenyewe anasema amefarijika kupata baiskeli kwani awali ilikua mpaka abebwe au kujiburuza mpaka afike shuleni hivyo ilikua ...
Musoma. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha kugombea udiwani Kata ya Sirari wilayani Tarime, Sinda Mseti licha ya kuwa ...
Zawadi hizo mara nyingi ni bidhaa za kuchezea au vifaa vidogo vya plastiki (kama vile mwanasesere, gari, gitaa), vinavyowekwa ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetahadharisha uwepo wa Dettol za maji bandia zilizokutwa zikitengenezwa ...
Serikali imesema itaendelea kuhakikisha waandishi wa habari wanafanya kazi katika mazingira salama, bila vitisho wala bugudha ...
Serikali inategemea kutumia kiasi cha Sh114bilioni kwaajili ya ujenzi wa madaraja 11 na maboksi 18 ambayo hadi sasa ujenzi ...
Dk Mwinyi, amesema kwa sasa hadhi na taswira ya utalii imebadilika kwa kasi, kutokana na hali hiyo imesababisha kuchipuka kwa miradi mingi ya ukodishaji nyumba kupitia mitando na watoa huduma.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Kamishna Jenerali wa Magereza, Jeremiah Katungu leo Agosti 15, 2025, vijana watakaokidhi vigezo watapaswa kuomba kupitia mfumo wa ajira wa Jeshi la Magereza ...