Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepigilia msumari msimamo wake wa kuhakikisha uchaguzi haufanyiki nchini kama ...
Kitita cha uzazi salama (SBBC) kimepunguza vifo vya watoto wachanga katika vituo vya afya 30 na kwenye mikoa mitano nchini ...
Gugumaji jipya jamii ya Salvania SPP limebainika katika Ziwa Victoria, ambalo lina uwezo wa kuzaliana zaidi ya mara mbili ...
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha mapinduzi (UVCCM), Rehema Sombi ameagiza viongozi wa jumuiya hiyo katika ...
Watu wawili wamefariki dunia huku wengine watatu wakinusurika baada ya moto kuteketeza nyumba walimokuwa wamelala.
Ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya kuanza kwa mkutano wa 11 wa mafuta na gesi wa Afrika Mashariki (EAPCE’25), utakaofanyika ...
Siku moja baada ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) kueleza upungufu na hatua ambazo sheria inaelekeza katika utoaji ...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Jordan mkoani Morogoro Magnos Mkinga (22) amefariki dunia katika stendi kuu ya mabasi ya Msamvu ...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kutokuwa na sera ya kukuza uchumi, ufisadi wa kutisha ...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, amesema ipo haja ya Siku ya Wanaume ...
Akizungumza leo Jumanne, Februari 25, 2025, wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo mkoani Tanga, Rais Samia ...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Zanzibar inaendelea kupiga hatua katika kuimarisha ...