Congo na nchi nyingine zinaishutumu nchi jirani ya Rwanda kwa kuunga mkono kundi la waasi la M23. Rwanda, hata hivyo, inakanusha madai hayo. Kundi la M23 linasema kuwa linatetea maslahi ya Watutsi ...
UBALOZI wa Kenya uliopo Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), umeshambuliwa na waandamanaji wenye hasira wakipinga ... Aidha waandamanaji hao waliolenga balozi za nchi wanazozituhumu ...