Wizara ya Afya Uganda, imethibitisha mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola, ‘Sudan Ebola Virus Disease’ (SVD) jijini Kampala baada ya sampuli kuthibitishwa na maabara tatu za kitaifa.
Mwaka jana, kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye, alitekwa jijini Nairobi, na watu waliodaiwa kuwa maafisa wa usalama wa Uganda, na kuvushwa mpaka na hatimaye kushtakiwa katika ...