BENKI Kuu ya Tanzania (BoT), imetangaza kuondoa noti mbalimbali za zamani kwenye mzunguko na kuwataka Watanzania kubadilisha kupitia ofisi za benki hiyo na benki za biashara kuanzia Januari, mwakani.
Mfanyabiashara mdogo wa karanga, Mohamed Ally (Mchanga), mkazi wa Kijiji cha Kitanda, wilayani Tunduru, ameeleza kusikitishwa na jinsi alivyopitwa na tangazo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuhusu ...
Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumeanzishwa harakati za kumwondolea kinga ya kisheria Rais wa zamani Joseph Kabila ili ashtakiwe kwa madai ya kuwaunga mkono waasi wa kundi la M23. Waziri wa ...
Jinsi ya Kutambua Sarafu Adimu ya Kale? Ni hasa a kipande adimu kutengenezwa kwa kiasi kidogo. Jua kwenye mtandao au ujaribu kusoma hati rasmi zinazokuruhusu kuzitambua kama vile Faranga, Argus ya ...
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza kesho ni ukomo wa kutumia noti za zamani. Kupitia ukurasa wake katika mtandao wa kijamii wa X, BoT imetangaza kuwa ubadilishwaji wa noti za zamani ulianza ...
Anatuhumiwa kwa uhalifu dhidi ya binadamu kupitia kikosi cha mauaji alichoanzisha Hati ya kukamatwa ilitolewa na ICC Machi 7 Tayari ameswekwa korokoroni huko The Hague, Uholanzi Kamishna Mkuu wa Umoja ...
Kutokana na soko la muziki Bongo kwa sasa kuzitaka nyimbo za amapiano, mwimbaji wa taarabu, Mzee Yussuf, amesema anafikiria kuweka vionjo hivyo kwenye nyimbo zake zinazokuja. Mzee ameyasema hayo, ...
Dar es Salaam, Taarab katika ubora wake haikuhitaji promo na kelele nyingi kwenye vyombo vya habari. Taarab ilijiuza kwa sababu ina njia zake ambazo ni za kipekee sana. Ni muziki wenye dunia yake ya ...
Mahakama mjini New York imemhukumu rais wa zamani wa Honduras kifungo cha miaka 45 jela kwa makosa ya ulanguzi wa dawa za kulevya. Juan Orlando Hernandez alihukumiwa Jumatano kwa kuyasaidia makundi ya ...
Dar es Salaam, Ukali wa nyimbo zilizotolewa miaka ya 2000, ulitokana na stori tamu zilizokuwa zikipangiliwa kwenye mashairi, huku ngoma nyingi mistari yake ikiwa imepangwa katika mtindo wa stori za ...