资讯

YANGA SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa 2025-2026 ambapo leo Juni 22, 2025 imemtambulisha winga, Offen Chikola.
YANGA SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa 2025-2026 ambapo leo Juni 22, 2025 imemtambulisha winga, ...
Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limesikitishwa na kitendo cha timu ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ kujitoa kwenye michuano ya CECAFA 4 Nation inayoendelea kwenye Uwanja ...
ULISIKIA lile jina la kiungo Lassine Kouma kutoka Stade Malien? Yule aliyekuwa anawindwa na Simba? Basi Yanga imefanya kama ...
MABOSI wa Simba wanaendelea kufanya usajili wa mastaa wapya kimya kimya, huku tetesi zikisema hivi sasa imefikia makubaliano kamili ya kumsajili kiungo wa kati raia wa Senegal, Alassane ...
NDOTO ya mshambuliaji wa Simba SC na Taifa Stars, Kibu Dennis kucheza soka la kulipwa Marekani inakaribia kutimia baada ya klabu ya Nashville kumwongezea wiki ya majaribio kutokana na ...
UONGOZI wa Namungo, uko katika mazungumzo ya kupata saini ya aliyekuwa beki wa kati wa Fountain Gate, Jackson Shiga, ukiwa ni ...
MAKIPA waliomaliza mikataba Singida Black Stars, Metacha Mnata na Hussein Masalanga wapo katika mazungumzo mapya na uongozi ...
UMAARUFU kazi. Ndivyo kauli hii ilivyomkuta Wema Sepetu ambaye tangu aanze kupata jina baada ya kushiriki shindano la Miss ...
Kama kuna kizazi cha dhahabu cha wachezaji wazawa katika miaka ya karibuni kilichoifanya Simba ing’are katika soka la ndani na Afrika, basi ni kilichoondokana na unyonge wa kukosa ...
SASA zimesalia wiki mbili tu kuandika sura mpya katika soka la Afrika. CHAN 2024 ni zaidi ya mashindano, ni kauli yenye nguvu ...
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kikosi chake bado finyu na hakina viwango vya kutosha hivyo ataendelea kufanya usajili ...