资讯

Wanahabari wameeleza changamoto zinazoikabili tasnia hiyo katikati ya ulimwengu wa teknolojia na akili mnemba.
Licha ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kupunguza asilimia 50 ya ada ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, Uwakilishi na ...
Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2025/26, huku Serikali ikisema katika kipindi cha miaka minne imelipa ...
Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kinatarajiwa kuingia kwenye mchakato wa kumpata mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo ya gazeti linalopatikana kwa uhakika Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha miezi sita jela na kulipa bondi ya Sh5 milioni mdhamini ...
Kanuni ya 9(7) ya Ligi Kuu 2024/2025, kila timu inaruhusiwa kucheza mechi zake mbili za nyumbani katika uwanja uliopo katika ...
Hii si mara ya kwanza kwa Mdude kutekwa. Ilitokea Mei 2019. Alichukuliwa na watu wenye bunduki. Baadaye iligundulika alikuwa ...
Serikali imeanza kuangalia teknolojia mbalimbali zinazoweza kupunguza gharama za matumizi ya nishati safi ya kupikia, ili ...
Kati ya kesi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ni ya rapa kutoka Marekani Sean “Diddy” Combs ambapo mapema jana Mei 5,2025 kesi ...
Ulanga. Matengenezo ya barabara iliyokatika Mei 3, 2025, katika eneo la Ilagua wilayani Ulanga yameanza kufanywa na wahandisi ...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara, imembadilishia kifungo, mfungwa aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa ...