资讯

Baadhi ya wakazi wa Muhoji wamesema kukamilika kwa mradi huo kutamaliza changamoto kubwa ya maji waliyokuwa wakiipata.
Mpina aliyekuwa Mbunge wa Kisesa kwa miaka 20 kupitia CCM, Agosti 5, 2025 alijiunga na ACT Wazalendo na baadaye kupitishwa ...
Moshi. Mtoto wa miaka mitatu na nusu, Ivan Chuwa ameuawa kwa kukatwa shingo, mtuhumiwa akidaiwa kuwa ni kijana jirani yao kutokana na imani za kishirikina. Tukio hilo lililotokea jana Agosti ...
Amewataka wakazi wa mkoa huo kuutambua utajiri wa rasilimali walizonazo ili wazirumie kujenga uchumi wao kupitia serikali ...
Moshi. Serikali imeshachukua hatua kwa wahudumu wa afya wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mawenzi wanaodaiwa ...
Tanzania na Burundi zimeweka jiwe la msingi la ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kuunganisha mataifa hayo mawili.
Maombi hayo yalifunguliwa na Jonathan Kiula, Leonard Mmbaga, Herman Kassenga, Elija Rumbe na wenzao 466 ambao walikuwa ...
Geita. Wazazi wametakiwa kuacha tabia ya ‘kufuga’ watoto kwa kuwapa chakula na mavazi pekee badala ya ‘kulea’ kwa kuwajengea ...
Mwenyewe anasema amefarijika kupata baiskeli kwani awali ilikua mpaka abebwe au kujiburuza mpaka afike shuleni hivyo ilikua ...
Musoma. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha kugombea udiwani Kata ya Sirari wilayani Tarime, Sinda Mseti licha ya kuwa ...
Zawadi hizo mara nyingi ni bidhaa za kuchezea au vifaa vidogo vya plastiki (kama vile mwanasesere, gari, gitaa), vinavyowekwa ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetahadharisha uwepo wa Dettol za maji bandia zilizokutwa zikitengenezwa ...