资讯

Kati ya kesi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ni ya rapa kutoka Marekani Sean “Diddy” Combs ambapo mapema jana Mei 5,2025 kesi ...
Mbali na msongamano, itapunguza pia ajali za mara kwa mara ambazo zimekuwa zikiripotiwa, huku wananchi wakiona suluhisho lake ...
Matukio ya karibuni kabisa ni ya kushambuliwa Padri Charles kitima, katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na kutoweka kwa mwanaharakati wa Chadema, Mdude Nyagali.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa amri tano ikiwamo kuridhia, Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu apelekwe mahakamani ...
Mchekeshaji Leonardo Butindi 'Leonardo' amesema haamini maneno ya watu yanayodai kuwa pafomansi ya Said Said mbele ya Rais ...
Kwa muda mrefu, wafanyakazi katika sekta mbalimbali wamekuwa wakikabiliwa na mishahara midogo isiyokidhi mahitaji ya msingi kama chakula, malazi, elimu na huduma za afya.
Sakata la mabinti wanaodaiwa wanasoma vyuo wanaotuhumiwa kumdhalilisha mwanafunzi mwenzao wa Chuo Kikuu Cha Ardhi, Magnificat ...
Huenda kampuni 95 zikapoteza leseni zake za uchimbaji wa madini nchini ndani ya siku 7 zijazo ikiwa zitashindwa kujieleza kwa ...
Beki tegemeo na nahodha msaidizi wa Yanga, Dickson Job ni miongoni mwa baadhi ya nyota wa timu hiyo ambao mikataba yao ya ...
Wana wa Israel walitumia takribani miaka 40 kwa safari ya kutoka utumwani Misri kwenda Kanaan mahali ambako ni umbali wa takribani Kilomita 600.
Baada ya kumuua bodaboda huyo wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, mtuhumiwa alikimbilia Manyoni, mkoani Singida, ambako aliuza ...