Zikiwa zimebaki siku tatu kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayoadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8, ...
"Vyama vya siasa vipo 19, ikiwemo NLD. Sisi hatuendi msituni wala hatususii uchaguzi, bali tunaenda kuwaeleza wananchi sera zetu ili watupe ridhaa ya kuwaongoza," alisema Doyo. Alieleza kuwa mwaka ...