News

TIMU ya Independiente Santa Fe, imeonyesha nia ya kumuhitaji mshambuliaji wa Azam FC raia wa Colombia, Jhonier Blanco kwa ...
UONGOZI wa Pamba Jiji umemalizana na kocha Mkenya Francis Baraza kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili akipishana na Fredy ...
PAMBA Jiji imekamilisha dili la usajili wa beki wa Fountain Gate, Amos Kadikilo, huku kiongozi wa klabu hiyo akifichua kila ...
MABINGWA wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC wamekamilisha usajili wa kiungo mkabaji, Abdulnasir Abdallah ‘Casemiro’ kwa ...
MSHAMBULIAJI wa Newcastle na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak mwenye umri wa miaka 25, anataka mshahara wa Pauni ...
HATIMAYE kipa Ali Ahamada ambaye alikuwa akiichezea KMC kwa mkopo akitokea Azam FC amefunga ukurasa wake wa kucheza soka la kulipwa nchini baada ya kumaliza mkataba wa miaka mitatu.
KLABU ya Yanga imeendelea kuboresha benchi lake la ufundi kwa kufanya usajili mwingine muhimu, safari hii ikimleta kocha ...
CHAMA jipya la Erik ten Hag, Bayer Leverkusen linamfuatilia kwa karibu winga Raheem Sterling ikihitaji saini yake kwenye ...
TOFAUTI kabisa na watangulizi wake, Mikel Arteta anapewa maisha yote ya kitajiri kwenye kikosi cha Arsenal, akipewa ruhusa ya ...
MABOSI wa Simba wanaendelea kufanya usajili wa mastaa wapya kimya kimya, huku tetesi zikisema hivi sasa imefikia makubaliano ...
Ngoma imekuwa ngumu. Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya kukwama kwa dili la Tanzania Prisons kumvuta Ahmad Ally kutua ...
SIMBA inaendelea kuimarisha kikosi kimya kimya hii ni baada ya kutajwa kumalizana na Jonathan Sowah kwa mkataba wa miaka ...