资讯

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo ya gazeti linalopatikana kwa uhakika Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi ...
Kanuni ya 9(7) ya Ligi Kuu 2024/2025, kila timu inaruhusiwa kucheza mechi zake mbili za nyumbani katika uwanja uliopo katika ...
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha miezi sita jela na kulipa bondi ya Sh5 milioni mdhamini ...
Ulanga. Matengenezo ya barabara iliyokatika Mei 3, 2025, katika eneo la Ilagua wilayani Ulanga yameanza kufanywa na wahandisi ...
Amesema wananchi wanaishi katika hali ya hofu kutokana na uvamizi wa mara kwa mara wa wanyamapori katika makazi yao, hali ...
Kauli ya Mageni inakuwa ya kwanza kusikika tangu mkutano wa 19 katika Bunge la 12 maalumu la kujadili bajeti za Serikali ...
Katika jitihada za kuboresha huduma bora za afya, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya imeboresha miundombinu na kufunga ...
Serikali imeanza kuangalia teknolojia mbalimbali zinazoweza kupunguza gharama za matumizi ya nishati safi ya kupikia, ili ...
Hii si mara ya kwanza kwa Mdude kutekwa. Ilitokea Mei 2019. Alichukuliwa na watu wenye bunduki. Baadaye iligundulika alikuwa ...
Kati ya kesi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ni ya rapa kutoka Marekani Sean “Diddy” Combs ambapo mapema jana Mei 5,2025 kesi ...
Mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2025/26 umejikita katika ujenzi wa barabara, huku ...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara, imembadilishia kifungo, mfungwa aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa ...